Katibu mwenezi mpya wa CCM aliyevaa viatu vya Nape, Humphrey Polepole
amesema bado anasimamia msimamo wake alioutoa wakati wa bunge la katiba,
kuwa Tanzania inahitaji muundo wa serikali tatu.
Msimamo huu unaonekana kwenda kinyume na msimamo wa chama chake.
Source: Mtanzania, Jambo Leo.
Msimamo huu unaonekana kwenda kinyume na msimamo wa chama chake.
Source: Mtanzania, Jambo Leo.
0 comments:
Post a Comment