Baada ya kutuonesha mjengo mpya ambapo ndio zitakuwa ofisi za radio ya Wasafi FM na Wasafi Tv sasa CEO wa WCB Diamond Platnumz leo January 12, 2018 amepost picha inayomuonesha yuko na Harmonize huku nyuma yao kukiwa na mnara mrefu ambao inawezekana ukawa ndiyo mnara wa radio tuliyo ahidiwa..
Diamond amepost picha hiyo na kuandika Caption iliyosomeka…“What a Busy Day #Mnarani…. InshaAllah Mwenyez Mungu atujaalie sisi Pamoja nawe Mwaka 2018 Uwe Mwaka Mwema na Wamafanikio…Tuseme “Ameen” Cc @harmonize_tz” – Diamond
Huwenda huu ukawa ndiyo mnara wa radio
aliyoahidi kuileta kwa mashabiki wake na inategema kukamilika mwezi
February mwaka huu 2018..
0 comments:
Post a Comment