Kiungo na nyota machachari wa klabu ya FC Barcelona Andres Iniesta ameongeza mkataba wake na timu hiyo maisha yake yote.
Timu hiyo ya Catalonia imetangaza Ijumaa katika jarida lake rasmi kuwa
imeafikiana na Iniesta kusalia katika timu hiyo maisha yake yote.
Jarida hilo lilifahamisha kuwa kiongozi wa timu hiyo Josep Maria
Bartomeu alishiriki katika hafla ilioandaliwa kwa ajili ya kutia saini
kuhusu mkataba huo.
Iniesta alijuanga na timu ya Barcelona Oktoba 29 mwaka 2002.
0 comments:
Post a Comment