Serikali imefuta umiliki wa shamba lililokuwa linamilikiwa na Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Yusuf Manji.
Shamba hilo lilili Kigamboni lenye ukubwa wa ekari 715, limerejeshwa serikalini baada ya uamuzi wa Rais John Magufuli.
Wakati hilo linatokea, Yanga watalikumbuka shamba hilo kwa kuwa Manji alijitolewa kuwa sehemu ya kujenga uwanja wa mazoezi.
Lakini
tayari alikuwa na mpango wa kujenga uwanja wa kisasa kwa ajili ya klabu
hiyo hasa kama wangeingia ule mkataba wa kukodisha kwa miaka 10 na
kampuni yake ya Yanga Yetu Ltd.
0 comments:
Post a Comment