MFANYABIASHARA Yusuf Manji amepoteza sifa ya kuwa Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu kutokana na kutohudhuria vikao zaidi ya sita na vikao vya kamati vya maendeleo ya halmashauri ya Temeke zaidi ya vitatu.
Hayo yamesemwa leo Jumatano na Meya wa
Manispaa ya Temeke, Abdallah Chaurembo katika mkutano na waandishi wa
habari ambapo aliongeza kwamba amemwandikia Waziri wa Tamisemi, George Simbachawene kuhusu suala hilo ili aweze kupanga uchaguzi mwingine.
0 comments:
Post a Comment