Acacia yakamilisha usitishaji wa uchimbaji mgodi wa Bulyanhulu. Mgodi
huo umepunguza wafanyakazi 1,200, wakandarasi 800, sasa wamebaki
wafanyakazi 200.
Ilielezwa kuwa sababu ya kuwapunguza wafanyakazi hao ni kutokana na mwenendo wa soko la madini kutikisika.
0 comments:
Post a Comment