Klabu ya Simba imetangaza kumtoa mzee Hamisi Kilomani kwenye Baraza la Wadhamini kwa kosa la kuvunja katiba ya klabu hiyo.
Pia, wanatarajia kumpekelea barua ya kumfuta uanachama na ikiwa
hatafuta kesi na kushindwa kujitetea watamfukuza uanachama moja kwa
moja.
Aidha, profesa Juma Kapuya ameteuliwa kuziba pengo la Ally Sykes
ambaye kwa sasa ni marehemu katika baraza hilo, nafasi ya mzee Kilomoni
imejazwa na Mkuu wa wilaya ya Kilosa, Alhaj Adam Mgoyi.
0 comments:
Post a Comment