Home »
MICHEZO
» LWANDAMINA: NILIKUWA NA WASIWASI NA TSHISHIMBI
Kocha
Mkuu Yanga SC, George Lwandamina amesema, kabla ya kufika kwa kiungo
kutoka Mbabane Swallows ya Swaziland, Papy Kabamba T’shishimbi alikuwa
na hofu kwa sababu hakuwa na mtu sahihi wa kucheza nafasi ya kiungo
mkabaji.“Ukweli
nilikuwa na hofu sana kabla ya T’shishimbi kuja lakini baada ya kumuona
kambini jana, nimepata tumaini jipya nikiwa na uhakika wa kukutana na
timu yoyote bila kuihofia,”amesema Lwandamina.
0 comments:
Post a Comment