Sunday 20 August 2017

LWANDAMINA KUMTEMA TSHISHIMBI MECHI YA YANGA, SIMBA

 
Kocha George Lwandamina amemuambia kiungo wake mpya, Papy Kambamba Tshishimbi kuwa ataangalia ufiti wake ili kuona kama atampanga katika mechi ya Jumatano dhidi ya Simba. 
 Tshishimbi amechelewa kujiunga na kambi ya Yanga mjini Pemba, lakini tayari ameanza mazoezi mazoezi.
“Kweli kocha atakachoangalia ni fitnesi yake kwanza, hivyo ameanza mazoezi na baada ya hapo ndiyo atajua anapaswa kumpanga au la.
“Kama atakuwa fiti ataanza, kama hatakuwa fiti basi ni suala la kusubiri kwa kuwa ni vizuri mchezaji kumpa nafasi akiwa fiti,” kilieleza chanzo.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive