Mfungaji wa goli la Lipuli FC Seif Abdallah Kirihe amesema
sio mara ya kwanza anaifunga Yanga kwa sababu tayari ameshawahi kuifunga
Yanga kila mechi aliyokutana nayo kabla hajaiunga na Lipuli FC.
“Sio mara yangu ya kwanza kuifunga Yanga, nina historia kubwa sana ya
kuifunga Yanga kila mechi nitakayokutana nayo, kwa maana hiyo wana
Lipuli kwa ujumla watulie waamini mazuri zaidi yanakuja,” Kirihe.
0 comments:
Post a Comment