Rapa Rashid Makwiro m,aarufu kama Chid Benz akipiga shoo hivi karibuni Uwanja wa Uhuru.
RAPA Rashid Makwiro maarufu kama Chid Benz na wenzake saba
wamekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jumamosi baada ya kukutwa na dawa
za kulevya maeneo ya Kariakoo jijini Dar, ikiwa ni siku chache baada ya
kuhusishwa na tuhuma za matumizi ya madawa hayo.
Jeshi la Polisi limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba
msanii huyo na wenzake wanaendelea kushikiliwa katika kituo cha polisi
Msimbazi kwa mahojiano na upelelezi wa kina zaidi.
Soma habari Kamili Kesho katika Gazeti la Risasi Mchanganyiko.
0 comments:
Post a Comment