Man United imekamilisha ilichokitaka baada ya kumnasa Nemanja Matic kutoka Chelsea.
Man United imemsajili Matic kwa kitita cha pauni million 40.
Kiungo
huyo rAia wa Serbia amekabidhiwa jezi namba 31 baada ya kusaini mkataba
wa miaka mitatu na atakuwa akilipwa mshahara wa pauni 140,000 kwa wiki.
0 comments:
Post a Comment