June 22, 2017 baada ya maswali ya watu mbali waliokuwa wanahoji kitu alichokuwa anafanya Jux China hatimaye mwimbaji huyo staa wa Bongofleva ameonesha picha za graduation ya kuhitimu Degree ya Computer Science kutoka Guangdong University.
Jux kuonesha picha hizo kupitia Instagram yake kumewafanya watu wengi watoe pongezi kwake ambapo miongoni mwao ni Vanessa Mdee ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram pia kuelezea hisia zake.
“Congratulation Juma jux U finally done and you done did
it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani
hii picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA
SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring
the YUTEEEEE” – Vanessa Mdee.
0 comments:
Post a Comment