Thursday 22 June 2017

PICHA 6: JUX AHITIMU ELIMU YAKE YA CHUO KIKUU NCHINI CHINA


Mwimbaji staa wa Bongofleva JUX amehitimu Degree ya Computer Science katika Guangdong University kilichopo Guangzhou, China na leo ameonyesha picha mbalimbali kutoka kwenye graduation yake.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive