Usiku wa Ijumaa ya June 30 staa wa soka wa kimataifa wa
Argentina anayeichezea FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi alifunga
ndoa na mpenzi wake wa toka utotoni Antonella Roccuzzo ambaye pia
wamezaa nae watoto wawili wa kiume.
Staa wa zamani wa FC Barcelona Samuel Eto’o na mkewe
Messi na Antonella Roccuzzo walifahamiana toka Lionel Messi akiwa na
umri wa miaka mitano na Antonella Roccuzzo ambaye ni mke wake kwa sasa
akiwa na umri wa miaka 4, wameamua kufunga ndoa kwao Argentina ndoa
ambayo ilihudhuriwa na wachezaji wenzake na marafiki zake mbalimbali.
Mastaa wa soka ambao Messi alicheza nao Barcelona kutoka kushoto Xavi na mkewe, Fabregas na mpenzi wake na Puyol na mkewe
Zaidi ya marafiki wa Lionel Messi wanaofikia 250 walisafiri kwa ndege
binafsi kuelekea Argentina kuhudhuria harusi ya staa huyo ambayo simu
za mkononi zilikuwa zimefungiwa kufanya kazi ndani ya ukumbi sherehe
ilipo kwa lengo la kuweka privacy pamoja na ulinzi wa askari zaidi ya
450.
Cesc Fabregas wa Chelsea na mpenzi wake
Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo waliyefunga ndoa
Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo waliyefunga ndoa
Lionel Messi na mpenzi wake Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Alba wa FC Barcelona na mpenzi wake
Staa mwenzake wa FC Barcelona Luis Suarez na mkewe Sofia
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Lionel Messi na Antonella Roccuzzo
Staa wa Man City na timu ya taifa ya Argentina Sergio Aguero akiwa na mpenzi wake
Staa wa Cameroon aliyewahi kucheza na Lionel Messi FC Barcelona Samuel Eto’o akiwa na mke wake
0 comments:
Post a Comment