Kama ni shabiki wa soka la Bongo hususani Dar es salaam Young Africans najua utakuwa umfahamu shabiki maarufu wa Yanga ambaye amekuwa na utamaduni wa kuifuata timu mahali popote inapokwenda Ally Yanga.
Taarifa ya kusikitisha iliyonifikia kuhusiana na Ally Yanga ni kuwa amefariki dunia katika ajali ya gari Dodoma eneo la Ipogolo, Ally Yanga imeripotiwa kuwa alikuwa katika mbio za Mwenge.
0 comments:
Post a Comment