Monday, 16 January 2017

RAIS MAGHUFULI KAFANYA TEUZI NYINGINE WAPO WABUNGE NA MABALOZI


Taarifa kutoka Ikulu ambayo imetoka leo January 16 imetufahamisha kuwa Rais John Magufuli amefanya teuzi nyingine leo na teuzi hizo ni za Wabunge wawili pamoja na Balozi  mmoja,walioteuliwa kuwa Wabunge ni Alhaji Abdallah Majula Bulembo na Prof.Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi.
Wabunge hao wataapishwa kwa taratibu za Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania,pia Rais Magufuli amemteua Bw.Benedicto Martin Mashimba kuwa Balozi kuhusu kituo chake cha kazi na tarehe ya kuapishwa kwa Balozi Mteule Benedicto Martin Mashiba itatangazwa baadaye.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive