Saturday, 14 January 2017

PICHA 12: NYUMBA ZA KIFAHARI ZILIZOJENGWA JUU YA MAWE

Hapa Tanzania hasa kwenye jiji la Mwanza ni kawaida kuona nyumba zimejengwa juu ya mwamba au kwenye sehemu za milima, ujenzi wa namna hiyo umekuwa ukifanyika pia hata katika nchi zingine duniani lakini kisasa zaidi.
Kuna hii nyumba ipo Hispania na imejengwa kwenye sehemu ya mlima, hawa jamaa wamebadilisha sehemu iliyokua inatumika kwa ajili ya makazi ya Wachunga mifugo na kuwa sehemu ya kuishi ambayo ni ya kifahari, kitu kama hichi kinawezekana lakini kina gharama kubwa.













Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive