Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Edward
Lowassa na mbunge wa Geita (M) Viti maalum Upendo Peneza wamekamatwa
Geita mjini. Kwa sasa wako kituo cha polisi...
Kosa ni Mh. Lowassa na Upendo kusalimiana na wananchi wakiwa njiani kuelekea katika kampeni kata ya Nkome, Geita vijijini
Ikumbukwe Ni siku ya Ijumaa Mh. Peneza alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana, kwa kosa la kusema kuna njaa nchini, hivyo serikali ichukue hatua za haraka kusaidia wananchi. Leo kakamatwa tena. Na pia, siku hiyo hiyo Mh. Mnyika, Katambi na wengine 3 walikamatwa hapo hapo Geita Mjini
Taarifa zaidi zitaendelea kuja......
0 comments:
Post a Comment