Jarida la GQ
la Uingereza kila mwaka hufanya tathmini ya mastaa waliovaa vizuri kwa
mwaka husika na limetoa orodha ya mastaa walioongoza kwa kuvaa vizuri
mwaka 2016. Rapa Drake kutoka YMCMB ametajwa kama staa wa kiume aliyevaa vizuri kuliko wote duniani kwa mwaka 2016.
Kupitia GQ Dressed Men pia ametajwa rapa Skepta kutoka kutoka Nigeria ambaye anakuwa ni msanii pekee kutoka Afrika kuingia kwenye jarida hilo.
Nimekuwekea hapa TOP 10 ya mastaa waliovaa vizuri mwaka 2016.
- Drake (Rapa)
- Eddie Redmayne (Muigizaji)
- Luke Evans (Muigizaji)
- Conor McGregory (Mcheza Karate)
- Tom Hiddleston (Muigizaji)
- Nick Grimshaw (DJ)
- James Corden (Mtangazaji wa TV)
- Benedict Cumberbatch (Muigizaji)
- Jared Leto (Muigizaji)
- Jack O’Connell (Muigizaji)
Wengine kwenye list hiyo ni pamoja na A$AP Rocky, Pharrell, Jaden Smith pamoja na Riz MC.
0 comments:
Post a Comment