Mdau wangu wa habari leo nimekusogezea hapa matajiri wakubwa duniani.
8. Michael Bloomberg(USA)
huyu ndio tajiri namba nane duniani anakadiriwa kumiliki wa dola bilioni 40. Bloomberg ni mmiliki wa kampuni ya Bloomberg LP.
7. Larry Ellison (USA)
6.Mark Zuckburg(USA)
huyu ndie mmliki wa Facebook na ndie anae shikilia namba 6 kwa utajiri duniani anakadiriwa kuwa na utajiri usiopungua dola bilioni 44.6.
5. Jeff Bezos(USA)
huyu ndie tajiri namba tano duniani na ndie mmliki wa duka maarufu mtandaoni Amazon utajiri wake unakadiriwa kuwa ni dola Bilioni 45.2.
4. Carlos Slimu Helu(Mexico)
huyu ndie tajiri namba nne ulimwenguni na ndie mmiliki wa kampuni ya grupo Carso, utajiri wake unakadiriwa kuwa ni dola bilioni 50.
3. Warren Buffett (USA)
huyu ndie tajiri namba tatu duniani na ndie mmiliki wa Berkshire Hathaway, huku utajiri wake ukikadiriwa kuwa ni dola bilioni 60.8
2. Amancio Ortega(Spain)
huyu ndie tajiri namba mbili na ndie mwanzilishi wa Zara na ni mmiliki wa Inditex, utajiri wake unakadiriwa kuwa ni Dola bilioni 67.
1. Bill Gates (USA)
huyu ndie tajiri namba moja ulimwenguni na ndie mwanzilishi na mmiliki wa kampuni ya Microsoft ambae utajiri wake unakadiriwa kuwa ni Dola za kimarekani bilioni 75.
0 comments:
Post a Comment