"Huwa nakasirika sana nikiona mtu anamfananisha Fid Q na Rappers wengine wepesi kama mimi, sipendi kabisaaa"
Baada ya Fid Q kufikiwa na hiyo taarifa alichukua time yake na kusema yafuatayo "Wewe sio mwepesi kaka @naytrueboy – so yawezekana kabisa na wao wakawa na vigezo flani special vinavyowapelekea wadau kunilinganisha au hata kunipima nao.. yote na yote.. ubarikiwe sana na asante sana kwa #LoveYaHelaYote"
0 comments:
Post a Comment