Kupitia
XXL ya Clouds FM iliyoruka December 29, 2016 imetajwa list ya magari
yanayomilikiwa na yaliyowahi kumilikiwa na watu maarufu wakiwemo mastaa
wa muziki, watangazaji na wacheza filamu. Kwa mujibu wa B Dozen amesema
kigezo kilichotumika kuipanga list hii pamoja na mastaa hao kuthibitisha
kumiliki magari hayo pamoja na kukutwa wakiyaendesha magari hayo mwaka
2016.
Hapa ni picha 10 za magari hayo.
1. Masoud Kipanya (MTANGAZAJI WA RADIO) – Hummer H3
2. Diamond Platnumz (MSANII BONGOFLAVA) & Masanja Mkandamizaji (COMEDIAN) – BMW X6
3. Quick Rocka (MSANII BONGOFLAVA) – Range Rover Spot
4. Wema Sepetu (MREMBO/MCHEZA FILAMU) – Range Rover E Vogue
5. Gadner G Habash (MTANGAZAJI WA RADIO) & Shetta (MSANII BONGOFLAVA) – Discovery 3
6. Alikiba (MSANII BONGOFLAVA) – BMW X5
7. Madee (MSANII BONGOFLAVA)- Toyota Prado
8. Nay wa Mitego (MSANII BONGO FLAVA) – Toyota Prad0
9. Idriss Sultan (COMEDIAN/MTANGAZAJI WA RADIO)- BMW M3, Altezza & Harrier
10. Professa Jay (MBUNGE/MSANII HIP HOP) – Land Cruiser V8
0 comments:
Post a Comment