Mchekeshaji wa kundi la original comedy Mpoki ameamua kufanya utani kuhusiana na headquaters mpya za WCB
baada ya kufanya vice versa na kile alichokipost Diamond Platnumz kwa
kuonesha nyumba ya udongo katika page yake ya instagram na kusema ni
studio za wachafu wakati Diamond alisema ni studio za wasafi.
Mpoki aliandika caption inayosema “tutaonana, hii ndio headquarters ya wachafu fm na tv kama kawa tukutane sehemu ya kuosha magari tutaonana hivi karibuni”
0 comments:
Post a Comment