Tuesday, 5 September 2017

SASA NI ANTHONY JOSHUA VS KUBRA PULEV

Bondia Anthony Joshua baada ya kumpiga kwa Knock Out bondia Wladimir Klitschko wa Ukraine katika uwanja wa Wembley usiku wa April 29 2017 katika round ya 11 pambano lenye round 12, anarudi tena ulingoni October 28 2017 mwaka huu kucheza pambano lake la 20 dhidi ya bondia kutoka Bulgaria Kubra Pulev.
Anthony Joshua
Anthony Joshua ambaye ni raia wa England mwenye asili ya Nigeria atapambana na Kubra mwenye umri wa miaka 36, kuelekea pambano hilo naomba nikuletee rekodi za mabondia wote wawili.
Kubra Pulev
Anthony Joshua
  • Umri: 27
  • Mapambano: 19
  • Ushindi KO : 19
  • Droo: 0
  • Kupoteza: 0
  • Round 55
  • Urefu: Futi 6 na inch 6
Kubra Pulev
  • Umri: 36
  • Mapambano: 26
  • Ushindi : 25
  • KO: 13
  • Droo: 0
  • Kupoteza: 1
  • Round: 174 
  • Urefu: Futi 6 na inch 4.5
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive