Sunday 3 September 2017

KWELI NG'OMBE HAZEEKI MAINI MORINHO AONYESHA UWEZO KWENYE MECHI YA KIRAFIKI

Jose Mourinho in a penalty shootoutHaki miliki ya picha
Jose Mourinho ameonyesha umahiri wake wa kuwa kipa baada ya kushiriki mechi ya kuchangisha fedha kuwasaidia watu walioathiriwa na moto wa jengo la Grenfell.
Meneja huyo wa Manchester United alicheza kama kipa katika mechi hiyo Game4Grenfell kati ya timu mbili za watu mashuhuri na wacheza soka wa zamani.
Damian Lewis, Chris Sutton and Jamie RedknappHaki miliki ya picha
Ralf Little, Olly Murs and Jose Mourinho during the Game4Grenfell matchHaki miliki ya picha
Kikosi chake kilishindwa kwa mabao 5-3 kwa njia ya penalti, ambapo bingwa wa olimpiki Sir Mo Farah alifunga bao.
Takriban watu 80 walifariki wakati jengo la Grenfell lilishika moto magharibi mwa London tarehe 14 mwezi Juni.
Singer Rita Ora performing at the Green4Grenfell charity football matchHaki miliki ya pichzao.
Players in the Game4Grenfell football match celebrate Sir Mo Farah's goalHaki miliki ya picha
Watu mashuhuri walishiriki mechi hiyo wakiwemo mcheza filamu Damian Lewis na Olly Murs.
Fedha kutoka kwa tikiti za mechi hiyo zilienda kwa mfuko wa wale walioathiriwa na janga la moto.
Wakati wa mapumziko waimbaji Rita Ora, Emeli Sande na Marcus Mumford walitumbuiza umati kwa nyimbo zao.
Players from team Shearer celebrate Trevor Sinclair's goalHaki miliki ya picha
Jose Mourinho playing in the Game4Grenfell matchHaki miliki ya picha
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive