Maafisa wakuu nchini Ubelgiji wamekiri kuwa, mnamo mwezi Juni, walifahamu mayai kutoka Uholanzi, huenda ilikuwa imeingiwa na kuharibiwa na dawa ya kuuwa wadudu.
Msemaji wa mamlaka kuu ya usalama wa chakula nchini Ubelgiji Katrien Stragier, anasema kuwa walihifadhi siri, ufahamu wao kuwa, mayao hayo yalikuwa na uwezekano wa kuingiliwa na dawa aina ya Fipronil -- kwa sababu ya uchunguzi kuhusu udanganyifu.
Maduka makubwa ya jumla nchini Ubelgiji, Uholanzi na Ujerumani, yameondoa kabisa madukani uuzaji wa mayai hayo.
0 comments:
Post a Comment