Sunday, 6 August 2017

MARAIS WA MAREKANI NA KOREA KASKAZINI WAZUNGUMZA

Korea
Rais wa Marekani Donald Trump na rais wa Korea Kusini wamezunguzma kwa njia ya simu kwa mara ya kwanza suala kuu likiwa ni majaribio ya hivi karibuni ya sialaha za nyuklia za Korea Kaskakazini.
Trump amedhihirisha furaha yake alivutiwa na umoja wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakati lilipounga mkono vikwazo vipya dhidi ya Pyongyang.
Taarifa zaidi zinaeleza kuwa waziri mkuu wa Korea Korea Kaskazini naye amefanya mazungumzo na waziri mwenziwe kutoka Korea Kusini kwenye mkutano wa masuala ya usalama nchini Philippines, na kunukuliwa akisema Souls imetoa nafasi nyingine ya mazungumzo mapya.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive