Friday 18 August 2017

BARCELONA WAMRUDIA COUTINHO LIVER


Barcelona wanaonekana hawajachoka kuhakikisha wanamtaka Coutinho kutoka Liverpool.

Maana yake safari hii wametupia ofa kwa mara ya tatu badala ya kukataliwa mara mbili mfululizo.

Liverpool imekataa ofa mbili kutoka Barcelona ambayo inamtaka Coutinho lakini sasa Barcelona imetoa ofa ya pauni milioni 114.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive