Friday 18 August 2017

BARCELONA ITAMKOSA SUAREZ MWEZI MMOJA

 
Barcelona Imesema Luis Suarez atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 4 au 5 baada ya kuumia goti kwenye mechi ya Spanish Super Cup dhidi ya Real Madrid.
Klabu ya Barcelona imesema mshambuliaji Luis Suarez atakuwa Out Of Action kwa mwezi mmoja akiuguza goti lake,
Kwenye game mbili za #SSC Barcelona ilitandikwa bao 5-1 na Real Madrid na kutangazwa kuwa mabingwa wa Spanish Super Cup.
Luis Suarez atakosa michezo ya Uruguay dhidi ya Argentina, Aug. 31 na dhidi ya Paraguay mnamo Sept. 5 ikiwa ni michezo ya kufuzu kombe la dunia,
 

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive