Monday 10 July 2017

SABABU ZINAZOMFANYA KINYONGA ABADILISHE RANGI

A panther chameleon (Furcifer pardalis) (Credit: Michael D. Kern/NPL)
Najua kila mtu anajua kuwa Kinyonga anabadilika rangi lakini hakuna anaejua kwanini mnyama huyo anafanya hivyo ila leo utajua kupitia safu hii ya wanyama iliyoandaliwa chini ya Ushindi Media.
A panther chameleon (Furcifer pardalis) eats a praying mantis (Credit: Nick Garbutt/NPL)
kinyonga aina ya panther akila mdudu aina ya senene.  
kwa muujibu wa mwanadolojia Kristopher Karsten kutoka chuo Chuo Kikuu cha California Lutheran anaibainisha kwanini kichonga hubadilika rangi na kwa wakati  gani.

kwa muujibu wa Karsten kinyonga hubadilika rangi wakati wa kujamiana kwani kwa kufanya hivyo hujisi wako wazi zaidi kuliko wakiwa na rangi ya kawaida.


licha ya tendo hilo Karsten anasema hushindana kujibadilisha rangi wakati vinyonga wenye jinsia ya kiume wanapomgombea mwenzao mwenye jinsia ya kiume.
ambapo hapo ndipo kinyonga hujibadilisha rangi kuliko wakati wowote nao vinyonga wenye jinsia ya kike hufanya hivyo hivyo wanaopopenda.
The goggly eyes of a common chameleon (Chamaeleo chamaeleon) (Credit: Daniel Heuclin/NPL)

Katika utafiti mzuri uliochapishwa mwezi Julai 2015, wataalam wa zoolojia waliwasilisha kwa kutumia Kopyuta jinsi macho ya kinyonga yalivyo na uwezo mkubwa wa kuchakata rangi.


Kupitia mchakato wa Stereoscopic Vision ilibainika kuwa macho ya kinyonga ambayo kwa lugha ya kisayansi yanajulikana kama goggly eyes hutumika kupima uwezo wa rangi iliopo eneo analotaka kukaa pamoja na kupima umbali ambao chakula kipo ili arushe ulimi wake bila kukosea.
A panther chameleon (Furcifer pardalis) deploys its tongue (Credit: Edwin Giesbers/NPL)
kinyonga aina ya panther akimnasa mdudu kupitia ulimi wake.
kwa muujibu wa mwanadolojia huyo kinyonga anarusha ulimi wake kwa spidi 6 m/s.
Brookesia micra, the smallest chameleon (Credit: dpa picture alliance archive/Alamy)
Kinyonga mdogoLabord's chameleons (Furcifer labordi) have short lives (Credit: PREMAPHOTOS/NPL)
kinyonga aina ya Labord's ambae anasadikika kuwa ndiye kinyonga anaeishi miaka michache.
karsten aligundua kuwa kuna aina ya Labord ambao ni kinyonga anaeishi miaka michache kuliko wengine.
mwanataaluma huyo aligundua baada ya kwenda Madagascar miaka miwili iliyopita.
vinyonga hao uchukua muda mrefu kukaa katika mayai ambao ukadiriwa kuwa ni miezi zaidi ya nane lakini anapozaliwa hukaa miaka michache.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive