Nyota
wa FC Barcelona, Gerard Pique, Sergio Busquets na Jordi Alba wake
nchini Qatar ambako wametembelea Akademi maarufu ya Aspire Academy
iliyopo jijini Doha.
Mbali na kutembelea akademi hiyo, nyota hao wamepata nafasi ya kujiachia katika sehemu mbalimbali ikiwemo Jangwani.
0 comments:
Post a Comment