Monday, 3 July 2017

PICHA 5: MANCHESTER UNITED NA JEZI YA NYUMBANI MSIMU WA 2017/18


Msimu mpya wa English Premier League 2017/18 unakaribia kuanza August mwaka huu na mbali ya kufanya maandalizi kwa mazoezi na usaji klabu zimekuwa zinazindua jezi zao watakazozitumia kwenye ligi hiyo.
Mara hii ni zamu ya Manchester United ambayo imetangaza jezi zake watakazozitumia kwa michezo ya nyumbani ikiwa ni kurejea kwao kwenye Champions League ikiwa ni mwaka wao wa tatu katika dili la miaka 10 lenye thamani ya Pound 750m na adidas.
Jezi hizo zimetambulishwa Jumatatu na wachezaji wa United wakiongozwa na Nahodha wao Wayne Rooney.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive