MDAU wetu mkubwa wa Ushindi Media tunajali na kuthamini uhitaji wako wa taarifa kwa wakati na ndiyo maana tumakuwekea hapa idadi ya marais wote waliohudhuria mkutano mkubwa wa G20 Hamburg, nchini Ujerumani.
Trump (wa pili kushoto mstari wa kwanza) na  Putin (wa nne kulia mstari wa mbele) wakiwa katika picha ya pamoja iliyojumuisha wawakilishi wa mkutano wa G20.
baada ya picha Macron na Trump wakizungumza huku  Trudeau and Pena Nieto wakiwasikiliza.
Merkel akifunika uso wakati akizungumza na Trump.
Putin akimsikiliza  Merkel  wakati wakijiandaa kuanza mkutano. 
Trump akizungumza jambo na Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto huku mazungumzo wao wakitaliwa na madai ya Mexico walipie ujenzi wa Ukuta . 
Trump akiteta jambo na  Macron and 
Merkel kabla ya mkutano kuanza.
Rais wa China Xi Jinping na Trump wakisikiliza majadiliano wakati wa mkutano huo.
Trump (katikati) akitabasamu na Rais wa Uturuki  Recep Tayyip Erdogan (wapili kulia nyuma ya kamera) 
wakati rais wa China Xi Jinping (kushoto) akikaa kwenye kiti. 
Rais wa South Africa's Jacob 
Zuma, Rais wa Urusi  Vladimir Putin na rais wa  Mexico's Enrique 
Pena Nieto wakizungumza jambo kabla ya mkutano kuanza. 





 

 
 
 
 
 
 

0 comments:
Post a Comment