Friday 14 July 2017

MAYWEATHER AMFANYIA JEURI MCGREGOR

Mabondia Floyd Mayweather na Conor McGregor wamekutana tena, mara hii New York, ambapo tambo na majigambo vilichukua nafasi baina yao huku kila mmoja akitamba kuibuka mshindi katika pambano lao litakalopigwa August 26.
Moja ya matukio yaliyovuta hisia za mashabiki wao ni kitendo cha Mayweather kumtupia mpinzani wake McGregor kiasi kikubwa cha fedha.
ambacho kiasi hicho kina kadiriwa kuwa ni dola milioni moja ambazo ni sawa na bilioni mbili za kitanzania.
Pambano la Conor McGregor vs Floyd Mayweather litapigwa 26 August, T-Mobile Arena, Las Vegas, Marekani.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive