
Shabiki wa Senderland, Bradley Lowery alipoteza maisha Julai 7 baada ya kuugua ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu.
baada ya kufariki siku ya leo ndiyo yalikuwa maziko yake, Simanzi ilikuwa kubwa kwa mashabiki wa soka England na duniani kote.
Wakati
wa safari yake ya mwisho mtoto huyo aliyekuwa ana umri wa miaka sita,
mashabiki wengi walionyesha huzuni kubwa akiwemo mshambulizi mkongwe wa
Sunderland, Jermain Defoe.
Na hii ndiyo safari ya mwisho ya Bradley.
Ufike salama bradley
ReplyDelete