Tuesday, 25 July 2017

HIVI NDIYO VYUO VIKUU VILIVYOZUIWA KUDAHILI WANAFUNZI 2017/2018

Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo vilivyozuiliwa kufanya udahili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo 2017/18. Orodha hii imetolewa wakati wahitimu wa kidato cha sita wakiwa wanaendelea na mchakato wa kutuma maombi vyoni.






Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive