Thursday 20 July 2017

CHELSEA YAIGUSA PABAYA MAN U


Alvaro Morata akiwasili Uwanja wa Ndege wa Heathrow na mkewe, Alice Campello tayari kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 70.6 Chelsea ya England kutoka Real Madrid ya Hispania.
Chelsea wanafanikiwa kumnyaka Morata ikiwa nae alikuwa ni miongoni mwa windo la Manchester United msimu huu.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive