Monday, 10 July 2017

BBC YATHIBITISHA UJIO WA ROONEY TANZANIA


Shirika la habari la nchini Uingereza BBC limethibisha ujio wa aliekuwa mchezaji wa Manchester United, Wayne Rooney  ambaye hivi sasa amejiunga na klabu ya Everton.
ambapo atakuwa miongoni mwa wachezaji watakao kuja hapa nchini kucheza na mshindi wa Sport Pesa ambae ni klabu ya Kenya Gor Mahia siku ya Alhamisi.
Rooney amerejea kwenye klabu yake ambayo alijiunga nayo akiwa na miaka 16  baada ya miaka 13 kupita wikiendi iliyopita akitokea klabu ya Manchester United.
Mchezaji huyo ameliambia gazeti mtandazo la Everton kuwa anaitazamia safari yake ya kwanza ya kwenda nchini Tanzania.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive