Kampuni inayomiliki Makampuni ya Uchimbaji wa Madini ya ACACIA imesema italipa mirabaha iliowekwa katika sheria mpya za madini.
Sheria mpya ya madini inawataka
wawekezaji katka sekta hiyo kulipa asilimia 6 ya mirabaha ikiwa ni
ongezeko la asilimia 2 zilizokuwepo awali, ambapo asilimia 1 ni kwaajili
ya usafirishaji kwenda nje.
0 comments:
Post a Comment