Tuesday 20 June 2017

PICHA 6: HII HAPA NYUMBA INAYOUZWA FACEBOOK

Nyumba iliyopo East London inatarajia kuwa nyumba ya kwanza Uingereza kuuzwa kupitia live streaming ya Facebook ambapo mmiliki wake atatoa nafasi kwa watu wanaoitaka kutembelea na kuikagua kabla ya kuiuza rasmi kupitia mtandao huo.
Wanunuzi watakaopenda kuinunua watakuwa na mashindano ya kuimiliki kwa Pound 470,000 hadi 475,000 (Dollar 593,700 – 600,000) ambazo ni sawa na Tsh. 1.31b – 1.33b kupitia Facebook Live Stream ambapo watatangaza zabuni kupitia Messenger app.

Share:

0 comments:

Post a Comment

Ads

Blog Archive