Ni kazi yangu kuhakikisha kila
siku nakusogezea picha za maeneo ambayo huenda haujafika na unatamani
kutembelea siku ukipata nafasi, leo nimezipata hizi picha 7 za daraja
lililoko katikati ya mji wa Changsha Meixi linalopita juu ya mto Meixi.
Daraja hili lina urefu wa mita 185 na upana wa mita 24.
Daraja hili linawapa nafasi wapita njia kuona mji kwa uzuri zaidi kutokea hapo. Unaweza kuzitazama picha zote hapa chini.
0 comments:
Post a Comment