Majirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi
karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted
na wala hasalimii
Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio maana amekuwa kifanya hivyo,
wamekuwa wakiona magari ya aina tofauti tofauti yakiingia anapokaa wala
hawajui gari lake ni lipi..ila wamemsifu kwa muziki mzuri
0 comments:
Post a Comment