Kutokana na majeshi mengi ya nchi
mbalimbali duniani kushindana ili kuwa bora zaidi ya lingine, majeshi
mengi yanawekeza zaidi kwenye silaha na wanajeshi wenye elimu ili kuwa
bora zaidi pamoja na hayo nidhamu kwenye jeshi ni kitu ambacho kinatajwa
kuchukuliwa kwa uzito mkubwa zaidi.
Leo January 07 2017 nimekutana na hii
video ambayo imetaja majeshi kutoka nchi 10 yenye nidhamu zaidi duniani
huku Jeshi la Kenya likiwa kwenye list. Nchi zilizotajwa ni hizi.
Jeshi la China
Jeshi la Urusi
Jeshi la India
Jeshi la korea Kaskazini
Jeshi la korea Kusini
Jeshi la Ufaransa
Jeshi la Marekani
Jeshi la Pakistan
Jeshi la Japan
Jeshi la Kenya
0 comments:
Post a Comment