Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Mhe Edward Lowassa akiwa na mbunge wa
Bukoba mjini wameudhuria ibada katika kanisa la KKKT. Akiwa kanisani Mhe
Lowassa ametoa kauli.
''Mh rais amesema hatatoa chakula. Mimi nimewasiliana na chama changu tumeona tuwape chakula watanzania. Naamini dunia itasikia'', alisema Lowassa.
0 comments:
Post a Comment