Jumatatu ya January 2 2017 aliyekuwa kiungo wa Chelsea ya England raia wa Brazil Oscar aliwasili katika timu ya Shanghai SIPG ya China iliyomsajili kwa dau la pound milioni 52.
Oscar ambaye atakuwa akilipwa mshahara wa pound 400,000 kwa wiki aliwasilia ShanghaiPudong Airport na kupokelewa na mashabiki wa timu hiyo sambamba na vyombo vya habari.
0 comments:
Post a Comment