
Jengo
la iliyokuwa klabu Bilicanas na ofisi za Free Media inayomiliki gazeti
la Tanzania Daima zinazomilikiwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha
Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’, Freeman Mbowe limeanza kubomolewa.
Ubomoaji
huo ulioanza jana January 6 2016 na unafanyika wakati Mbowe ameingia
katika mgogoro na NHC baada ya kampuni ya udalali ya Poster and General
Traders kumtolea vyombo nje mwanzoni mwa September, mwaka jana kwa
kudaiwa Sh bilioni 1.2 ambayo ni deni la pango. Nimekuwekea picha 11 za
jengo hilo lilivyoanza kubomolewa.
Source:- Miladayo











0 comments:
Post a Comment