Ni siku moja tangu staa wa bongofleva Alikiba
kutangaza kuhusu kufanya tour ya muziki nje ya Tanzania na alitangaza
kuanza na nchi ya Afrika Kusini, lakini leo Jan 7, kupitia ukurasa wake
wa Instagram ametangaza kufanya tour hiyo nchini Marekani pia na
ataanza na Las Vegas, kisha Austin & Houston Texas, Minneapolis
Minnesota na Washington DC kuanzia March mpaka April 2017.
0 comments:
Post a Comment