Muimbaji kutoka Nigeria ambaye hivi karibuni alinunua Range Rover ya mwaka 2017 Davido sasa amevuta gari nyingine mpya ambayo ni ‘Mercedes Benz ML 350’ ya mwaka 2017 yenye thamani ya Naira za Nigeria milioni ₦90.
Davido pia ana miliki Brand New Range Rover yenye thamani ya Naira za Nigeria milioni N100.
0 comments:
Post a Comment