Tunajua kwa tamaduni zetu hapa
Afrika si rahisi watu wajinsia moja kufunga ndoa tena hasahasa wanawake kwani
tunaamini dini zetu haziruhusu.
Lakini hivi karibuni kuna picha zimeendelea
kusambaa katika mitandao ya kijamii zikidaiwa kuwa wanawake hawa wamefunga ndoa
nchini Afrika ya kusini na kuamua kuishi kama mume na mke bila kujali usawa wao
wa kijinsia.
0 comments:
Post a Comment